Monday, March 16, 2009

kamala J Lutatinisibwa said...
watoto wetu jamani cjui ni nani wa kuwasemea watoto kwani kila mahali wao wanatuhumiwa, wanauwawa, wanapigwa, wanabakwa, sijui twende wapi, sijui tumwombe Mungu yupi wa kukomboa watotoo wetu. inauma sana.kuna akina sisi tuliokua bila wazazi wakati wako hai, lakini sasa mambo ni magumu sana.nilipambana na wakristo fulani kisa niliandika makala ya kuwatetea watoto wasipigwe, wanarejea andiko la mithari 22;15, nikatamani hata watoto wangeshirikishwa katika kunadika hiyo biblia. inaummasasa dini hizo ndizo chanzo cha migogoro yoote ya mauaji. ukiangalia nyma ya ubaguzi wa rangi, kuna dini fulani.watanzania waliandamana kupinga kuuwawa na kuonewa kwa waisilamu wenzao wa palestina, lakini kawme siio wa Darful, kwa nini?tunafanya maasi wizi na ujinga kwa jina la dini. marekani akimpiga iraq, tunajidanganya eti imeandikwa. israel ndo baaasi, taifa teule la Mungu. sijui ni mungu yyupi huyo anayemilikiwa na waislaeel na anayewawezesha kuuwa na kutengeneza siraha hatari duniani badara ya kueneza amani, uipendo, mshikamano na umoja! huyo mimi namwita Mungu kichaa kama kweli yupo.tunachafua uliwmengu eti kwa jina la Mungu. marekani wameandika kwenye pesa zao kwamba, in god they trust, sijui ni mungu yupi wanayemwamini huyu.ukoloni, utumwa na uuaji, yalifanyika kwa jina la Mungu wa watu fulani. leo Dafur ni kwajina la Mungu fulani japodini moja lakini Mungu anapendelea ngozi fulani zaidi, wapalestina wafwa, kisa? taifa teule la Mungu linataka kurithi mali za duniani. ni mungu yupii anapenda mali za duni kulikoo kuwapenda watu wake? kwa nini Mungu analiwezesha taifa lake teule kuuwa na sio kuokoa na kukomboa watu wake.ni lazima tumtafute Mungu wa kweli na kueneza ulio ukweli badala ya propaganda za kibanadamu eti mungu anapendlea wajinga fulani wa tifa linalojiona ni lake zaidi.lazima turudi kwenye msingi wa imani halisi na sio bangi hizi kwa jina la mungu etina walilia watotoo, japo ipo siku Mungu wa kweli na mungu wa watu wote na viumbe, atawasikia. ni mungu asiye na taifa wala kabila ni mungu apendaye na kusamehe na kuwakaribisha wote kwake, sio mungu wa kubagua kama tuliye naye sasa

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kamala mi navyojua kuna Mungu mmoja tu. Lakini pia inategema kama una imani kuwa Mungu anabagua, Mungu si wa ukweli nk

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

sawa yasinta, huo ni uelewa wako japo mimi naweza kusema kuwa hakuna Mungu hata mmoja.

bali kuna nguvu kuu inayotawala na kumiliki vyote au nguvu chanya

Yasinta Ngonyani said...

Yah, kila mtu ana haki ya kuamini anachoamini si kuna wengine wanaamini mti ni mungu ni sawa tu.