Monday, April 27, 2009

nimefika jiji ni tena

nimesharudi Dar ili kuendeleza mienyeko ya hapa na pala. nimetoka Bk jumapili saa sita nanusu mchana na kufika dar jumatatu saa saba na nusu. karibia ni masaa 24 kamili kumaliza safari hii.

basi lilipaswa kulala lakini wapi! tulipenyeza mpaka jijini. nilishangaa basi nililopnda halikuonekana kuingia sheli kujaza mafuta na kumbuka lilitoke kampala. sijui linatumia upepo?

tulisimama kahama kupata msosi wa jini, kuna vijana walioonenaka kama wanafunzi tuliwaacha pale kwani mpaka gari linaondoka walikuwa hawajaonekana, siuji waliendawapi mpata tuwaache! niijaa vumbi kutokana na kukaa siti ya mwisho kabisa. basi lilipakia bata, kuku, na bidhaa lukuki.

sasa niko jijini, nayakosa mazuri yote ya BK na zaidi hali ya hewa nzuri kwa meditation.

basi tuendeleze maisha. si mnakumbuka tulisitisha mada yetu juu ya Dini yangu mimi?

twende kazi

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Naona umekuwa na wakti mzuri. Nimefurahi umesafiri salama.

Mwanasosholojia said...

Karibu Kamarade!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ahasanteni sana, ni kweli safari ilikuwa ya raha mustarehe. natamani kurudi tena, kwenye asali na maziwa.

Nuru Shabani said...

KARIBU

Anonymous said...

I'd like to know where I could get good ringtones for the iphone other than creating them on itunes. Is it possible to get them directly from AT&T like you can with any other phone? Is there a 3rd party website where you can get them from at good quality? The problem is that i'm having trouble with the itunes "create a ringtone" feature so I'd like to find another alternative. Please help!
[url=http://unlockiphone22.com]unlock iphone[/url]