Saturday, April 18, 2009

nshafika bk mida hii hii

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Twamshukuru Mwenyezi Mungu umesafiri salama. Uwe na wakati mzuri na kula sana ndizi

Mzee wa Changamoto said...

Dah!! Kuna wakati ni ngumu kutofautisa wivu na kumtakia mtu mafanikio. Maana sijui kama nakutakia likizo njema kwa kuwa napenda uifaidi ama nakutakia likizo njema kwa kuwa najiona ndani ya BK nikijimwayamwaya. Hahahahahaa. Yote kwa yote tunafurahi umefika salama na hakuna unaloombewa zaidi ya muda mzuri utakapokuwa huko na salamu kwa wote.
Blessings

SIMON KITURURU said...

DUH!

Shabani Kaluse said...

DUH!!!!

Bwaya said...

Kwa jinsi ninavyoujua mtandao wa mkoani, tusipokuona bloguni kwa siku kadhaa hata siwezi kushangaa...

Salaam zao ndugu jamaa na marafiki, tangaza blogu Bukoba mkubwa