Sunday, May 24, 2009

kchimba dawa nako

basi kwa nini mkiwa safarini huwa mnachimba dawa na sivinginevyo? dawa hiyo humtibu nani? ni kwa nini kuna uilazima wa kujificha mbali kidogo mida hiyo? najiuliza maswali haya. imargini umeenda mbali na ukakutana na bonge la nyoka au simba, utamaliza kuchima au warudi nayo? kwa hiyo hakuna umuhimu wa kuchimbua hiyodawa ausimba kaimaliza?


ujumbe wa jumapili tundugumpendwa

1 comment:

chib said...

Kuchimba dawa ni mazoea ya watu tu, hata huko waendako kujichimbia, udongo wala hata aulowi zaidi ya sentimita 2.