Thursday, May 14, 2009

wacha wacha jamaa katoko chicha huyu ehe!


wanaita asilimia kumi. sijui zikifika mia litakuwa kanzu? kapendeza kwa mtizamo wangu bwana

5 comments:

Koero Mkundi said...

Kamala naomba namba ya simu ya huyu jamaa, nimempenda kweli, natakla anioe!!!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ahahahahahaa weweweeee

sijaja kuvunja ndoa za watu mimi nilikuwa naonyesha tu stairi mpya za ufanyaji mambo koero, tafadhali. au piga 112 au 111 au 911
utampata

Mwanasosholojia said...

Duh! na suspender juu! I see katoka chicha Kamala!

chib said...

Nina maswali mengi kuhusiana na hiyo nguo.
Wakati wa dharura inakuwaje!

SIMON KITURURU said...

Chib umenichekesha sana !

Katika yote nilikuwa sijamfikiria huyujamaa wakati wa dharura!