Wednesday, June 17, 2009

maisha ya Bongo, vijana wa Bongo - 2


naendelea kuyaangazia maisha ya wabongo na ya vijana wa Bongo

maisha ya vijana wa bongo walioko mashuleni na vyuoni ndo mawee? ukimuuliza kijana anayesoma kuwa anapenda kusomea nini atakwambia kozi yoyote au kozi fulani kama vilie uhasibu. ukimuuliza kwa nini uhasibu atakwambia kuwa una ajira nyingi> duh ikiwa na maana kuwa yeye alikuja duniani kufuanya chochote au kutafuta pesa ili ale anywe ashibe na afanye ngono!

kacha! akimaliza shule ajira ndo hivyo, anakaa kijiweni, maisha ya shule ndo hivyo, hayakuwa na muelekeo. alifukuzwa, alikula mlo mmoja nk. akiingia kazini sasa basi, ni pesa, ni rushwa ni lawama. atatembelea viwanja vyote as if duh, aliishi ili vimkome. ukimpa uongozi ndo rushwa tu si alisomea msosi?

kijana anatanga tanga mitaani, akikutana na wanaofanya kazi wanamtishia na kumpiga mkwara kuwa hakuna kazi au akushinda vizuri. kijana msomi wa bongo sio mbunifu, anatafuta ajira! kah! inauma!!!! yupo yupo. anatamani gari, ndoa na maisha yoyote. ni mlevi, mulokole na ni mbahatishaji.!

kanicosha kijana wa bongo, mawazo yake duh

4 comments:

chib said...

Dunia ni mahangaiko, yote kwa ajili ya nini ati..

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

maisha!

Mzee wa Changamoto said...

Ni kweli kuwa kusoma bila kujua tupendacho ni chanzo cha mengi kutoendelea.
Yaani kama ulivyosema kaka, wanasoma bila kujua wanataka kuwa kina nani achilia mbalo kujua namna ya kufika watakako kwenda. Ni sawa kuniambia kuwa unataka kwenda Zanzibar na unajua kuwa unatakiwa kupanda boti na wewe kama nahodha wa meli hiyo unawasha na kuelekea kokote. Utajikuta Comoro!! Ohooooooooooo!! Ndio maana wengi wanajikuta wameingia kusiko.
Kuna mantiki kuubwa sana katika usemayo na nasubiri sehemu zijazo.
Blessings

Anonymous said...

[url=http://firgonbares.net/][img]http://firgonbares.net/img-add/euro2.jpg[/img][/url]
[b]cheapest student software, [url=http://firgonbares.net/]and software stores in[/url]
[url=http://firgonbares.net/][/url] office word software discount microsoft office software
educational software typing [url=http://firgonbares.net/]cheap gis software[/url] adobe photoshop cs4 + crack
[url=http://firgonbares.net/]microsoft server software[/url] buy wholesale software
[url=http://firgonbares.net/]discount software house legit[/url] where can i buy adobe photoshop
discount software house [url=http://firgonbares.net/]downloadable freeware software[/b]