Saturday, June 13, 2009

shop keeper


wapi hapo? sijui masuala ya bei jamani. usimtume mtoto hapo maanake???!

6 comments:

mumyhery said...

mbwa na ni mteja tu anasubiri huduma ila anae toa huduma ndio katoka kidogo

Mzee wa Changamoto said...

Hapo umepatia Dada Mariam. Yawezekana mbwa katumwa na mwenye "duka" kakimbia kumuogopa. Na mbwa anaogopa kurudi nyumbani bila alichotumwa. Hapo kazi maana mbwa anasubiri auziwe, na muuzaji anasubiri mbwa atoke ndio arejee dukani.
Lol

SIMON KITURURU said...

:-)

katawa said...

Hapo mimi nimeona mbuzi anayekula majani na wala si mbwa.Naomba mzee wa Changamoto na mumyhery wanieleze wamejuaje kuwa huyo ni mbwa?.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

interesting! picha moja, maelezo buku

chib said...

Mimi nafikiri mbwa huyo ni wa muuzaji, na yupo kama mlinzi, ukiwa na nia ya kukwapua utamuogopa huyo dogi.
Huyo anayeona ni mbuzi ashindwe kwa jina la ......., sio Kamala lakini!!!