Monday, June 8, 2009
ukijani huuu
imajini hapa ndo unakoishi harafu unafanya tahajudi, wewe!!!! asikwambie mtu, duh nilipotea kabisaaa, patamu hapa, nashangaa tunabanana kwenye magari, majengo na joto wakati linchi ni jema na zuri saaana kama ukijani huuonao eti twatafuta pesa mazee!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni::
Post a Comment