Tuesday, July 28, 2009

darasa lilikuwa hivi kama lionekanavyo

hapa ni power point inafanya kazi na ukiangalia vyema ni kijisampo blogu kinaonyeshwawanafunzi wasikilizao kwa makini, we waweza?
kwa kifupi nilitoa mada juu ya haya yaonekanayo ubaoni, it was nice, I wish more blogu will be created, bofya hapa kuona moja wapo iliyotengenewzwa

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kamala swafi sana kwani inahitajika wanablog chipukizi na vitu vipya vya kuvutia.Hongera kwa kuweza kufanya hivyo.

Anonymous said...

Ni lazima tuwe asware kuwa kila liandikwalo katika blog si dhahabu!

Kuna wengine kwenye dunia ya "blog out there", wanafikira kuwa kwa kuwa kimeandikwa, "therefore", ni kizuri ingawa kitavutia!

Anonymous said...

Hapo juu: Ni lazima tuwe asware...

Isomeke:

Ni lazima tuwe "aware...

Mzee wa Changamoto said...

Ni kweli Anon kuwa si kila kiandikwacho ni sahihi. Na ukweli huu unajidhihirisha kote kwani tumeona yatudhuruyo zaidi ya blog.
Kibaya ni kuwa YASIYO NA MAANA KATIKA BLOG (ama niseme zisizoandika ya maana) ndizo zenye ushabiki mkubwa. Bado waTanzania hatutaki kujitambua, kujielimisha, kutambua maisha yetu, uasili wetu, CHANGAMOTO ZETU na hata masuluhishi ya matatizo yetu na zaidi suluhu ambazo ziko ndani ya uwezo wetu. Tunataka lolote litakaloweza kuleta "mgongano wa mawazo" na ndio maana picha ya mtu akionesha ubinifu wa kutatua tatizo fulani yaweza kutopata "mmlishonyuma" (feedback)lakini ya binti aliyekaa vibaya akaonesha sehemu inayokaribia na ubinti wake ikajaza maoni.
Waache waje, waanzishe na tuone MISSION na VISION zao kisha wao wenyewe wanaweza kujifunza baada ya kuanza ama wakawafunza wengine kuwa kuanzisha blog si lele mama. Na pia wanaweza kuwa changamoto kwetu tunaoendesha blog sasa hivi.
Ulilosema ni ukweli kuwa SI KILA LIANDIKWALO KATIKA BLOG NI DHAHABU kwa maana nyingine KUNA DHAHABU NYINGINE HAZIJAANDIKWA KWENYE BLOG.
Twawasihi hawa "wanafunzi" wahitimu wa Mwl KAMALA wazisake hizo dhahabu watuoneshe
Blessings

Koero Mkundi said...

KALIKUWA KADARASA KAZURI........!!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

asanteni nyonte. anony na mzee wa c/moto maoni yenu yana point fulani muhimu.

watu katika ulimwengu huu wanajengana imani za hovyo na kusambaza nguvu hasi

Egidio Ndabagoye said...

Darasa bab'kubwa na shukrani kwa kuelimisha vijana.Kwa sasa mkongo wa mawasiliano AKA fiber optic imeshatua bongo hata tuliopo mbali tunaweza kutoa darasa.