Friday, July 17, 2009

huwa mnafikiria nini?


wengi wenu mkiingiaga kwenye mijengo kama hii huwa mnakuwa wanafiki wa kujifanya wanyenyekevu na wenye upendo, wapole, wasiopenda kuzini nk.
kumbe waongo mnaogopa ule mkwala mkuu upigwao wa siku za mwisho takutana na limoto la milele likuunguze mpaka kinyesi kilicomo tumbona mwako.

nawakemea. Mkasali bwana

1 comment:

Chacha Wambura said...

kwani kusali ni nini? pengine tuwaambie hao wenye mkwala watuambie ama watufundishe namna ya kusali. kwani wewe ukiwa unasali si huwa ni mpole sana?