Wednesday, July 22, 2009

huyu ni nani?

Mbona kama namjua vile au........

6 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Hahahahaaaaaaaa. Ni "kijana" mmoja hivi. Jina limenitoka lakini anaonekana ni "m'bishi" kwa mtazamo wa wengine ama mtetea haki kwa mtazamo wake. Mwenye kuitwa "outspoken" mbele ya watu pale ambapo anasema ana-speak his mind. Mtu ambaye wakati mwingine anaweza kuwa suluhisho kwenye tatizo ama tatizo kwenye suluhisho kulingana na upande unaoamua kuwepo.
Ok! Huyu ni yeye. Yeye ambaye anataka na anakuwa yeye na ambaye anapenda yeye awe yeye na aushihirishe u-yeye wake bila kuhofia u-mimi wa wengine.
Ndiye nimjuaye

Yasinta Ngonyani said...

Mimi nasema huyo ni mwanakaka ambaye namfahamu ambaye daima mkweli.

Chacha Wambura said...

mkury toka kwa wanyanchori na wanyanchoka!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mzee wa changamoto ni noooooma.

yasinta too good to be true. chacha jamaa mbona hana kisu wala rungu atakuwaje wanyanchoka?

Mzee wa Changamoto said...

Labda ambacho watu wataweza kutatazika ni hizo nyama hapo nyuma. Maana nimjuaye hali nyama. Lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mzee wa C/moto, picha hii ni yaenzi kidogo na nilihudhuria hafla na ndg jamaa na maadui wanaokula kitu hiyo. ni mateso kidogo kuwa karibu na wanakochomea hiyo kitu mkuu.

thanx for observation