Thursday, July 16, 2009

mmmmhhhhh nnnooooooot! unaona nini?

labda hata sungura wanazunguka,

tafadhali blogu hii irudi kwenye maadili sio vitu vya gizani please, ombi!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mmmmmm kaaazi kwelikweli hapo Kamala nawe!!!

Fadhy Mtanga said...

We we we we we wewe Kamala wewe!
N'takusemea kwa da Koero kuwa unaanza kukiuka maadili.

Chacha Wambura said...

kwani ni nini hicho mnachokemea? si wanacheza hao au wanafanya nini zaidi ya hapo? Da yasintha na Fadhy, ukikutana na rafikio wa siku nyingi ukam-hug kuna zaidi ya hapo? Ama mmesahau swali la Bwaya katika picha yenye taswira nyingi? Hii ya leo ina taswira ya kikuria ya ku-hug-iana na kupigana au vipi?