Friday, July 24, 2009

uandish wa kiraia
picha hizi zinanionyesha mimi na wanafaunzi wangu waliohu
dhuria kozi ya uandishi wa kiraia (citizen jounalism) kituo cha Tanzania youth center ambako niliwafundisha juu ya kutumia blogs. walipennda sana mafuzo na kuahidi kufungua blogu za kwao kwa hiyo tutegemee makuu

5 comments:

Fadhy Mtanga said...

Safi sana kaka. Kazi nzuri. Twasubiri kwa hamu blogs mpya.

chib said...

Utupe njia ya kuzifikia blog zao kama watafungua tuweze kukupa maksi kama kweli wewe ni mwalimu mzuri :-)

Mbele said...

Unafanya kazi nzuri sana, kuwamegea vijana ujuzi. Elimu ni utajiri mkubwa. Kila la heri.

Yasinta Ngonyani said...

Kazi nzuri mwl. Kamala:-) tunasubiri kwa hamu matokeo.

Däñìél stèvéñ said...

kazi nzuri mwalimu nami ningependa ushauri wako juu ya blog yangu mpya (changamkeni.blogspot.com) naomba uikague