Monday, August 31, 2009

jamani nimerushiwa li-dongo

jamini katika mada yangu ya mikwara ya siku za mwisho dongo hili, naomba ushauri kwanza

Nyie mnaojaribu kufanya discussion na Kamala mnapoteza muda wenu bure. Huwezi kufanya discussion na mtu asiyejali ideas na ideals za wengine. He doesn't care about your views, life experiences, life philosophy etc. As long as hujui hii DOGMA yake ya kujitambua basi utaishia kutukanwa, kubezwa na kudharauliwa. Angalia comments zake anywhere on the blog world. It is all about this stupidity thing called kujitambua (the same thing that is preached by the SCIENTOLOGY cult), "teaching" people how to be rich while himself is poor (although he will claim that in kujitambua sense he is rich). Hata utoe points na hoja namna gani as long as siyo mtu wa kujitambua you will be treated as a stupid person. So people don't waste your time trying to argue with a person who thinks he knows everything (in essence a STUPID person) because you may also end up looking even more stupid! Tchao!

10 comments:

Anonymous said...

Hili siyo dongo, ni kweli mtupu. Na wala siyo siri bali kila mtu anajua. Unajifanya unajua kila kitu na umekuwa kama vile ndiyo umegundua haya mambo ya kujitambua. Munga Tehenan - mwalimu wako wa kujitambua alikuwa rafiki yangu sana. Lakini alikuwa ni mtu makini ambaye hakudharau maoni ya mtu. Yeye angekusikiliza kwa makini na polepole angeanza kuweka bayana msimamo wake huku aki-match mawazo yako na falsafa yake. Alikuwa mtu anayejiheshimu na sidhani kama angekuwa hai kama angekuwa proud of the-know-all- monster he produced.

Cornerstone mojawapo ya kufanya mjadala wa maana ni kuheshimu mawazo ya yule unayejadiliana naye. Nimepitia mjadala wako na Profesa Nzuzullima na japo alikuwa anatoa hoja nzuri - mpaka katika post yake ya pili akakuomba na msamaha kama alikosea katika post ya kwanza. Je, ulionyesha japo uungwana kidogo na ku-accept msamaha wake? No literally ulimtukana tena bila kutoa hoja wala nini. Huu siyo ustaarabu hata kidogo Kamala hata kama you are real into this kujitambua thing and you think that all the other people are stupid, you need to tone it down a little bit. Vinginevyo, I totally agree with the anony. above. The best thing the other bloggers can do is JUST TO IGNORE YOU, lest they risk looking even more stupid!

Chacha Wambura said...

Mnijuze wajameni...hivi wale watu wanaoitwa outspoken wana tabia gani?

Anonymous said...

Chacha Wambura...kuwa outspoken siyo lazima kuwa unatukana watu na kujifanya wewe unajua kila kitu. Huyu jamaa has a big problem na hata wewe unajua. Outspoken my foot!

Anonymous said...

Naona watu wako scared ku-discuss hii issue. wewe kweli kiboko. Usilegeze kamba dear. Ni kujitambua tu mtindo mmoja na kama mtu anajaribu kudiscuss na wewe kama siyo Mhaya au mtu wa utambuzi basi mtukane tu akafilie mbali huko. Usilegeze kamba bwana. You will dissapoint some of us.

Chacha Wambura said...

Haya, mada imenogaga!!! Nadhani Anony kila mutu ako na style yake ya kuwasilisha jambo. Pengine KL kachagua style hiyo ya kulipuka kama mtaniruhusu kuthema hifo.

Sioni kama kumtukana kama ndiyo suluhu ya kumrekebisha abadili style yake ya kuongea japo nina imani kama anataka aweza kubadilika.

nadhani ntamtukana baadaye kwa sababu mbili kubwa. kwanza ni mtani wangu na pili mimi mnyanchoka, atanifanya nini? LoL!!!

Chacha Wambura said...

Kwa KL, ushauri ni kuwa ubadili style yako ya kuwasilisha majambo la sivo!!!!

Anony kashasema.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

haya. yoote ni mema. prof mbele anaogopa saana kubishana na wanaoitwa ma- Anonymous na labda ana sababu zake.

pia katika kublogu bwana!! kuna wasiojiamini na kuamua kuficha majina yao ili wawe anony. mtiririko unaweza kukujuza huyu ni nani.

kila mtu ana haki, wajibu na nafasi ya kuelezea maoni yake na mtizamo wake juu yangu na juu ya jambo lolote katika kijiwe hiki na hivyo naheshimu na kutetea nafasi hiyo.

wakati mwingine ni bora kusemwa. just imagine mtua anaamua kukusema wewe, hiyo ni hatua ya kutambua uwepo wake nami napokea na kutoa bigup

wambura, wanyanchoka siwaogopi saana kwa sababu hawaji mujini huku

SIMON KITURURU said...

DUH!

Anonymous said...

hii ni chiboko kabisa!sijawahi kusichia kabisa bwana, basi biendeke bizuri,msinyambuane bwana.

Anonymous said...

Mingongano ya mawazo ni hatua muhimu sana katika kupanua uelewa. Kamala, endelea kugonganisha vichwa kwani wengine tunanufaika sana kupata mapya!