Wednesday, August 26, 2009


Mambo ya utambuzi mjini musoma hayo
ni noma.
najiuliza kwa nini kukaitwa Musoma, kuna wasomi wengi au?
baada hya kuwa huku kanda ya ziwa, najikuta nikiwa na maswali meeengi na niko kwenye mazingira mapya. kuna watu nawamiss na sijui kama nawamisi wao au vyao viungo. maisha yetu ni ya kutafuta kilichombali na kug'ang'ania usichokihitaji.
sasa najiuliza ni vipi.
no nimekumbuka shairi katika kitabu cha diwani wa mloka kilichoandikwa na C. mloka.
shairi lenyewe ni 'hutanacha Morogoro'
likikuwa hivi...............
%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%
$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
niinngiapo basini, kuna mtu anikuna
anipapasa begani, kama vile twajuana
najifanya simwoni, pilika zimenibana
ghafra aja usoni, twaonana ana kwa ana
Lo! ni mpenzi jini, mwalimu wa kisichana
jini ananiambia, hutanacha Morogoro.
hiyo ni beti ya kwanza na moja wapo iliiimba hivi..........
Twakaribia mjini, nasikia kaachini
kondakta adadisi, tusikamatwe njiani
namwangalia kidogo, kisha nainamachini
nakaribia kushuka, twaonana mlangoni
jini ananiambia, hutanacha morogoro.
nilipokua sekondari kuna baadhi ya mashairi niliyakariri mpaka kifo! hayatatoka kichwani mwangu nakuhakikishia nasijui namkumbuka nani mpaka niandike maneno ya Mloka hapa. inamaana siwezi kuongea mpaka nimnukuu mtu nisiyemfahamu japo nayafahamu maandishi yake?
naomba jibu

3 comments:

chib said...

Huyo mtoto wa kizungu na tairi la gari anajaribu kutambua nini? :-)

Yasinta Ngonyani said...

Kmala kwa nini unanukuu basi? si uandika kuhusu huyo umuwazaye itakuwa rahisi zaidi. Ni wazo tu!!!

Chacha Wambura said...

YN, pengine hana maneno ya kumuelesea, ama?

KL, eleweka basi!!