Thursday, August 27, 2009

mara yangu ya kwanza kukutana na kijana wa Changamoto


picha hiyo ilipigwakwa maeneo ya mikocheni jijini dar, kwa kutumia kamera inayaminika kuwa ni ya kijana wa changamoto (yeye anajihita mzee, sipendi kumwita hivyo kwani wazee wanamawazo fulani na mikwara ya laana katika ulimwengu uliolaaniwa)

baadaye nilishangaa kumuona anablogu na kumuuliza kama ni yeyekweli nimfahamuye naye akakiri ndiye. mpaka sasa najiuliza ilikuwaje nikakutana naye kwenye ile nyumba tulimokutana. anywei, nimepost baada ya kuwa hapa hotelini na kuvisiti ka-kompyuta na kuona umuhimu wa kuuliza swali la kwanini pale lakini pia kumuonyesha kijana wa Changamoto mzima mzima.

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Wow! Kamala ni bahati kuonana na mzee kama huyo. Tena sio nusu kama tumuonavyo blogin. Asante Kamala!!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ndio yasinta, japo hakuonekana kuwa na changamoto wakati ule

Mzee wa Changamoto said...

Duh!! Asante Kamala. Nilifurahi kuonana nawe. Well! Kilichotukutanisha ilikuwa "changamoto" maishani na mpaka sasa imebaki kuwa hivyo. Na sasa hivi nashukuru kuwa nimejifunza meengi saana toka nimeweza kukubali aina ya fikiri na utambuzi ulionao na kuweka kando aina ya "misemo na uongeaji" uutumiao. Labda kwa wasiojitambua ama kujua changamoto zilizopo mbele yetu wanaweza wasielewe kuwa bila kujitambua kama utuasavyo, twaweza kutoona hata kilicho mbele ya macho yetu ambacho anayekiona akikisema anaweza onekana kama mchawi.
UWAZI ni kingine nifurahiacho hapa KIJIWENI na UELIMISHAJI, UBURUDISHAJI NA MAJADILIANO ni sehemu kubwa ya mafanikio ya Blogu hii.
Hakuna BAHATI MBAYA Akatika kukutana no matter what happens mkikutana ama baada ya kukutana na kutano langu nawe (japo halikupangwa na yeyote kati yetu) limekuwa na manufaa MAISHANI na ni sehemu kuubwa ya muendelezo wangu wa kuirejeshea jamii kile niaminicho kuwa sahii.
Asante saaaana kwa kuendelea kuwa PAMOJA na naamini tutafanikisha.
Blessings

chib said...

Mimi nilifikiri Kamala alikuwa anaota ndoto ya kwenye blogu!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@chib, ni uhalisia

kijana wa changamoto, sina cha kusema na ni bora nikae kimya ili nilinde 'ego' isiingilie na kuchukua nafasi yangu

SIMON KITURURU said...

Poa sana!Mie nikuwa hapo baa ya jirani nahisi!:-)

Tukiacha utani nawaonea wivu kiduchu kwa kukutana na labda iko siku tutakutana maeneo .

Na si siri nazimia sana kazi zenu wote!

chib said...

Naam, Kitururu, dunia ni duara, nina hakika kuna siku watu tutakutana. Utashangaa siku ukikutana na Kamala, kama akiongea maneno mawili, basi ujuwe siku hiyo atakuwa ameongea sana, lakini ukimpa keyboard, DUH! Labda kurasa 3 za maneno. BIG UP KAMALA! :-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chib ni kweli na natamani iwe ivyo japo sina uhakika ni kipi kiko juu kati ya kutaip na kuogea