Friday, August 28, 2009

Picha hiyo


bila ridhaa ya Makande masangu nimeamua kuweka picha hii iliyopendeza ya masereburity hao ikiwa na nyuso za furha zilizotpanbwa zikapambika hasa hako kadogo kuliko wote pichani, I like anges si mnajua watoto ni malaika na biblia inasema muwe kama wao ili muweze kwenda alikoenda yesu??

hii ni baada ya kazi za kusafiri na safari ndeefu ya kurejea jijini. tuonane juma lijalo katika mada mfululizo na muedelezo.

asante kwa kuchagua kijiweni blogi

7 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

We Kamala wewe. Haya shauri yako!

SIMON KITURURU said...

Picha bomba!

Chacha Wambura said...

kwani ina nini hiyo picha?

hebu nijuzeni, ama?

Yasinta Ngonyani said...

Ni picha nzuri na nyuso zao wote wanaonyesha wana furaha.

Chacha Wambura said...

Yasinta, pengine ni furaha za kubumba, au vipi?

au hujawahi kusikia furaha ya namna hiyo? na hiyo huwa inapfundiswa kwenye chiken party mnazohudhuria kuwa ukigombana na mumeo chumbani akigonga hodi mgeni mwitikie kwa sauti ya bashasha na tabasamu kuubwa hata kama umetoka kupenwa magumi na mateke!!!

Note: hizo chiken party zenu hazi-apply huku ukuryani kwani ni undavandava tu!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chachaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

inaonyesha ni kwa kiasi gani wewe ni ri-kuraya!

Chacha Wambura said...

KL, oa mkurya uone vituko...ukimpelekea maua siku ya valentino (sijui huyo valentino wenu kwao ni wapi na anahusianaje na maua, kadi n.k) ujue kesho yake ukienda kazini utakuwa na manundu!!!