Thursday, August 13, 2009

rich dad na wajuzi wa mambo

hii ni nukuu kutoka katika kitabu cha rich dad poor dad juu ya umhuhimu wetu wa kusikiliza na kuuliza maswali badala ya kujua.........

There are so many "intelligent" people who argue or defend when a new idea clashes with the way they think. In this case, their so-called "intelligence" combined with "arrogance" equals "ignorance". Each of us knows people who are highly educated, or believe they are smart, but their balance sheet paints a different picture. A truly intelligent person welcomes new ideas, for new ideas can add to the synergy of other accumulated ideas. Listening is more important than talking. If that was not true, God would not have given us two ears and only one mouth. Too many people think with their mouth instead of listening to absorb new ideas and possibilities. They argue instead of asking questions

3 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...
This comment has been removed by the author.
Masangu Matondo Nzuzullima said...

Kiburi cha weledi (intellectual arrogance) ni tatizo kwa watu wengi na linaweza kuja katika sura mbalimbali. Kwa vile eti una kaPhD basi wengine wote hawajui kitu - kumbe kaPhD kenyewe umesomea kakitu kadogo sana! Ni kwa sababu hii watu wengi huwaona watu wa kijijini kama watu ambao hawana mawazo mapya, watu ambao wanatakiwa kuelekezwa jambo la kufanya. Kumbe tungewauliza maoni yao tungeshangaa kugundua kwamba pengine wanajua zaidi kuliko sisi "tunaowalazimisha" kuchemsha maji ya kunywa, kuvaa kondomu n.k. Ndiyo maana sera nyingi hazifaulu.

Mawazo mapya daima hupokelewa kwa jicho la hatihati. Unakumbuka kanisa la Katoliki wakati ule liking'ang'ania kwamba jua huzunguka dunia ingawa Galileo Galilei alikuwa ameshaonyesha si kweli. Hata ile kuchungulia tu katika teleskopu yake hawakuweza! Ukileta wazo jipya linalokizana na mfumo unageuka adui, mchochezi, haini,

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

matondo,

hiyo ndiyo jamii tuliyomo hata leo kwa njia nyinginezo.

tunaishi katika jamii yenye vyombo vya habari wenye mtizoamo kama uliousema hapa.