Thursday, August 20, 2009

sipiritual planes

ukifumba macho yako, wengu mtaona rangi au vitu kama vilivya hapa mahali palipoandikwa 'material universe' au physical plane. weweza zidi na labda mpaka 'such khand' au the true home.

11 comments:

Chacha Wambura said...

hapa twahitaji maelzo saidi, sawa?

chib said...

Labda ikifika kesho nitakuwa nimepata japo wazo, lakini leo, wala hata sijaelewa

Yasinta Ngonyani said...

Kamala Nifumbe macho kwa muda gani?

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Nyie mtahangaika bure. Hili zoezi ni kwa watu WANAOJITAMBUA tu. Vinginevyo mtu waweza kufumba macho ukaishia kuona mambo yaliyotokea jana kwenye baa!

Chacha Wambura said...

Masangu a.k.a Nyoyo kwa kijaluo una maneno wewe! utaona mambo ya kwenye baa ya jana? na kwenye tv je? na huwezi kuona vituko va kwenye dala dala je?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Yasinta, fumba kutanzia dakika ishirini na kuendelea. waweza kunuiza maneno mazuri au chanya wakati umefumba. macho yako yawe na uzingativu katikati ya nyusi za kulia na kushuto na jaribu kuondoa fikra kichwani huwe 'empty'

matondoooooo!!!! Chaacha Ashasema!

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Maelezo ndiyo hayo yameshatolewa na hapa nanukuu..."fumba kuanzia dakika ishirini na kuendelea. waweza kunuiza maneno mazuri au chanya wakati umefumba. macho yako yawe na uzingativu katikati ya nyusi za kulia na kushoto na jaribu kuondoa fikra kichwani uwe 'empty'

Kuna aliyefuata haya maelekezo na kuona cho chote baada ya hizo dakika ishirini? Kama yupo atueleze ameona nini.

Chacha Wambura, sikujua kama masangu yanaitwa nyonyo kwa kijaluo. Kwa Kikurya yanaitwaje?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

matondo wewe hujafanya? unasubili kwanza upate uzoefu kwa wengine? jiamini bwana kwani hata ukishindwa hamna madhara zaidi ya uzoefu.

Chacha Wambura said...

Mie naogopa kufumba macho nsije nkaona visivoonekana!!!

KL, si vibaya kupata udhoefu wa wengine walojaribu-kwani na wewe si umeoa kwa sababu ulipata udhoefu wa baba ama mjomba-ako? LoL!!!! Au?

Masangu, waweza kuita mahengele kwa kikurya, tena hayo ni kama yale ya kisukuma kule mwagala!!!

Masangu Matondo Nzuzullima said...

masangu (Kisukuma), nyoyo (Kijaluo), mahengele (Kikurya), makande (Kiswahili)...anayefamu kwa lugha zingine aweke.

Kamala, nimejaribu sijaona kitu. Waliojaribu tuambieni mlichoona.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

masungu basi kwa kihaya ni Masangwe!

inawezekana ulifumba macho kwa lengo la kuona hizo rangi. fumba, harafu nuiza na usitarajie kuona kitu. just enjoy kufumba na kunuiza na yaliyobaki yatajileta yenyewe kadri unavyozidi kutulia.