Sunday, August 30, 2009

Wote ni marais
tofauti yao ni kwamba mmoja sasa kashaozaoza na kuonjwa na wadudu, huku mwingine akionja kila ajisikiacho kukionja hata kupiga angalau kajichabo

10 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo vipi jamani?

Chacha Wambura said...

Hapo sawa Yasinta!!!!

Au Mt. Simon analongaje yeye kuhusu hapo?

Masangu, usijali sana hayo ni mashikolo tu!!!

KL, ungekuwa weye ungefanyaje?

Chacha Wambura said...

Na kama mwamshangaa huyo anayeangalia kishtobe a.k.a kibinda ama bambataa hebu shangaa hapa http://www.youtube.com/watch?v=iqP2MRuJ4Ac

Si vibaya kushangaa hapa pia http://www.youtube.com/watch?v=i-FP2gRvziw


PEngine wanawachezea hao wamjamaa labda kwa madai kuwa hawajastaarabika. wakithubutu waje wa walyenchoka na wanchari, toba!!!

Patakuwa hapatoshi!!!

chib said...

Kwa uzoefu na ujunzi wangu, yumkini OB alikuwa anaangalia ngazi tu!!
Ila ukilazimisha macho yako yaone hivyo, na ubongo ukaunga tela, basi itakuwa ni imani kama ya kidini sasa!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chacha ningekuwa mimi ningeangalia na kujifanya kama vile sioni vizuri kinachoendelea mimi huyu.

chib!!!! sijui huko uliko unaishije maanake???

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Kuna kautafiti hapa, na haijalishi kama wewe ni baba askofu, rais, mtu wa kujitambua au...

http://matondo.blogspot.com/2009/08/utafiti-wanaume-hutumia-mwaka-mzima-wa.html

Chacha Wambura said...

Masangu, na wewe pia hupiga chabo kwa mujibu wa utafiti?

tatiz ni pale tafiti zetu tunazofanya kisha hazitupi majibu ya suluhu...hapo ndo ugomvi wangu ulipo

SIMON KITURURU said...

@Chacha: Kakalio mwanadada mbona kadogo hivyo?


Mimi katika swala la chabo na tabia za Pimbi wa gazeti la SANI. Smaku ya macho katika swala la kupiga chabo la hitaji Sangara wamo kilo tani fulani hivi!

Na swala la mvuto wa hoteli ya mtoto namaindi sana kwaliti ya ujazo wa nukta ya kinyonyeo!

Duh naacha nsije nikaingia dhambi bure wakati mie Mtakatifu:-)

chib said...

Kamala karibu tu uone, maisha safi tu na hakuna bugudha. Brain yako tu ndio itakupa msukumo. Unakaza buti ndugu yangu

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chib namaanisha wale watutsi wa kike