Friday, September 11, 2009


8 comments:

Chacha Wambura said...

na huyu ndo nani? my wife wako?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

sijui kama kweli nina wangu mimi

chib said...

Mie naona miguu yake ina giza

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Hapa napo watu ambao hatufahamu mambo ya utambuzi tumepigwa chenga nini? Mbona naangalia lakini sioni kitu? Naona binti wa Kizungu akitembea na mabinti wa shule wakimwangalia mpiga picha? Ni nini kinachoendelea hapa? Samahani kama nimechemsha!

Yasinta Ngonyani said...

Kamala jitokeze na tuambia kinachoendelea.

Anonymous said...

Chib, huoni kuwa huo weusi wa miguu ni surali fupi aliyovaa?

Hebu kuza hiyo picha: double-click kwenye hiyo picha uone ilivyo.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

fmbo fumbia mwerevu.....

Anonymous said...

rUGAMBWA HII PICHA IMENIKUMBUSHA NJOGE KWIKWI