Wednesday, September 9, 2009

leo ni tarehehe ya Tisa, Tisa tisa.

yaani 09/09/´09

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Inaosha kama vile ni spesho nimependa hii.

Chacha Wambura said...

sijui nani kazaliwa tarehe hii?

SIMON KITURURU said...

kuna muda ilikuwa 09.09.09 na saa 09.09 na sekunde 09

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

simon hiyo ni noma zaidi. ila ni kwa saa ipi? ya kiswahili au kidhungu? maana sis saa tisa twaita tatu na tatu twaita tisa mkuu, DUH

Chacha Wambura said...

inategemea uko wapi!!!