Thursday, September 24, 2009

niko Bungeni jamani

kwa taarifa tu ni kwamba niko katika mazoezi ya bunge kivuli la vijana lililoanza leo mpaka Jmosi mchana. kwakweli sio mchezo mambo ni magumu na vijana wanvichwa vikali.ni changamoto kwa kwenda mbele na tuonane kwenye vyombo vya habari. sio mchezo bunge hili linaonyesha tulivyokuwa na vijana makini.
niko mstituni jamani mpaka kieleweke na baada ya Bunge hili, tutapanga mashambulizi ya kuelekea uchaguzi mkuu ikiwa ni pamoja nakuzindua mwongozo wa vijana katika uchaguzi huo.
tuombeane

7 comments:

SIMON KITURURU said...

Tuko Pamoja Mkuu!

Yasinta Ngonyani said...

Usiwe na shaka Kamala tupo pamoja kweli na tunakuombea. Safi sana kwa kuwa na moyo huo.

Chacha Wambura said...

na mimi ntakuwa kampeni meneja wako, LoL!

lakini, mbona nyie vijana mnafanya mazoezi wakati wabunge wetu huwa hawafanyi mazoezi?

ama nyie hamtaki kulipuka kama wazee wa mjengoni na pia kusinziasinzia kwenye mjengo wenyu?

wakola waitu!!!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chacha hayo ndiyo mambo ya kizazi kipya. siku hizi watu hawaoi mpka mke awe angalau amepata mimba changa ili kuthibisha. na ndo hivyo kazi ya ubunge kivuli

Markus Mpangala said...

UNABISHA? nisimulie basi kama kuna mitumbwi na kafia za kuvulia samaki kama nyasa.

Chacha Wambura said...

ayaaa!! isijekuwa ni malambano ya haja ya ya vijana kuwa fisadi badala ya malumbano ya hoja, lol!!!

Tandasi said...

KILA LA HERI KIONGOZI