Monday, September 28, 2009

Wezi wanaoiba pesa ya Mungu

Ilitokea jijini Arusha. siku moja mzee mmoja alienda kutoa sadaka.alikuwa na noti ya sh 1,000 akaona hawezi itoa yote simnajua 1,000 ya enzi zile? basi alipofika pale, akaingiza mkono na kutoa sh 800 akaweka 1,000 ikiwa na maana kuwa alitoa 200.

basi siku nyingine ikatokea baada ya kukusanya sadaka, wakaja majambazi na bunduki. wakachua sadaka zoote pale madhabahuni na kuwataka wanaibada wasiwafuatilie kwani si walimtoleaMungu? sasa wezi wameamua kuchukua pesa za mungu. Who knows labda Mungu kawaagiza, si miujiza tu ya Mungu ni mikuuu?

pastor akakosa hela ya uji

5 comments:

Chacha Wambura said...

woote, huyo mzee na majambawazi wamemuibia sir god, lol!

bai ze wei, sir god yuko wapi?

labda KL utujuze yuko wapi.

Yasinta Ngonyani said...

Kazi kwelikweli Eti pesa za Mungu hahahahahaha!!!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chacha, Sr god wakati wa kutoa sadaka anakuwa kwenye sadaka. kwani hujui? wakati wa kutoa huwa wanamtolea Mungu na wakati wa matuumizi ni baba pastor. ulie tuuuu

Chacha Wambura said...

aksante kwa kunijuza papa a.k.a Baba mtakavyombo Kamala...lol

Tandasi said...

hatari hiyo