Monday, September 28, 2009

wiki yanenda kwa usalama barabarani


sinywe na kuendesha lakini usiendeshe kwa kunywa, dont panic, endesha tararibu

nb: habari za bunge baadaye

4 comments:

Chacha Wambura said...

kwa wale wasokunywa na hawaendeshi, wafanyeje?

Yasinta Ngonyani said...

Kamala unanitamanisha huo ugimbi wa kunyumba we vipi bwana. kaziiii kwelikweli kuiweka hapo hiyo kili....

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chacha, sijasema kudrive nini. wewe si una mke? na vitu vingine? spidi c huw tofauti?

sio gari pekee, dont drive mkuu

Yasinta kumbe na wewe ni mwanachama? mimi simo na ndio maana naonya. sipendelei sana vinywaji viuleweshavyo mwili. kuywa tu wewe

Chacha Wambura said...

KL, kauli yako ni tata...lol Kwa hiyo hata barabara yaweza kuwa kitanda? lol!

Dah!