Thursday, October 29, 2009

bidhaa ya maji kule kwetu

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Ama kweli Bongo Tambarare!

Nchi iliyozungukwa na maziwa yote makubwa Afrika maji safi kwa wananchi ni Kasheshe.:-(

Halafu eti MISRI ukatizako mto tu NILE ulioanzia hukuhuku kwetu wanaunafuu kwa kupata maji ya bomba kuliko BONGO!:-(

Ama kweli mwenye choo hajui kukinyea!

Yasinta Ngonyani said...

Simon Umesema kweli, Kamala ndoo moja ni shilingi ngapi?

Chacha Wambura said...

kabla KL hajajibu pale kwetu Tarime ambako kampuni kubwa ya uchimbaji madini ya Barrick (www.barrick.com) ya kanada iko ndoo moja ya maji imefikia sh 2000!

Tena yaweza kuongezeka kwa kuwa mvua zimeanza na kemikali za sumu zinaingia mitoni

ni balaa

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chacha kwakwelihilo linahitaji utafiti wa hali ya juu. labda NEFTZ italishughulikia vyema.

Yasinta sijui ndoo moja ya maji shs ngapi lakini nakumbuka mwaka 2004 iliuzwa kati ya shs 200 mpaka 300 na sasa mito kadhaa imekauka kwa hiyo bei itakuwa imepanda tu.

Kitururu ni kweli,mwenye choo anakunya pembeni mwa tundu wakati wewe unayejua kunya tunduni unatamani choo bila mafanikio