Saturday, October 31, 2009

I love the childrenhata yesu Kristo alidai kuwa watoto wadogo wataingia moja kwa moja mbinguni bila kuvua hata viatu. amina

11 comments:

Chacha Wambura said...

unao wangapi?..lol

mie ninao wengi nikijaza gari lori la fuso linajaa...lol

na wote nawamaindi kinomi...lol

Yasinta Ngonyani said...

Chacha Wambura hongera kwa kuzaja lori la fuso...lol
Amen:-)

Anonymous said...

Biblia inataja mengi kuhusu the paradiscal nature ya mtoto. Kuna wenye kuamini kuwa watoto hawana dhambi; kwahiyo, wataenda mbinguni moja kwa moja.

Kwa wenye kupenda upande wa pili, kuna pia mafungu mengi yanayopinga hoja hiyo.

Watoto hawataenda mbinguni moja kwa moja, pengine kutokana na dhambi iliyotokea hapo Bustani ya Edeni (Adamu na Hawa na Lucifer).

Fungueni mafungu haya yafuatayo na myasome kwa makini:

Zaburi 51:5; 58:1
Warumi 3:10; 5:12; 5:18; 6:23; 7:14; 9:11; 10:10
2 Petro 2:14
Mwanzo 2:17
Ayubu 14:1
1 Wakorinto 7:14; 15:22
Waefeso 2:1; 5:5
1 Yohana 1:8
Mwanzo 8:21
Methali 22:15
Kumbukumbu ya Torati 11:10
Yohana 3:3, 3:5, 14:6
Mika 7:2
Waebrania 11:6

------------
Born Again Pagan

Anonymous said...

Kuniradhini! Neno paradiscal lisomeke paradisiacal

-----
Born Again Pagan

SIMON KITURURU said...

DUh ! Itabidi nimpe mimba mtu hivi karibuni kama mambo yenyewe ndio hivi!:-(

Kamala ,nikisisitizia alichosema Born again Pagan, si nilisikia dini fulani zinadai watoto huzaliwa na dhambi ya asili ndio maana kuwabatiza ni fulu ujanja?

nyahbingi worrior. said...

Nuff Nuff respect man.

Nimekuwa nikufuatilia maandiko yako humu blogini na kufarijika sana.

karibu katika nyahbingi worrior,tukubaliane kwa kutokubaliana.

Chacha Wambura said...

Katekista Simon, ushampata wa kumbebesha hiyo mimba?...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chacha, watoto woote ni wangu. wote unaowaona na uliowahi kuwaona. nawapenda wote.

BAP. asante kwa vifungu. nitavipitia.

kitururu na BAP, sikubali kuwa watoto wanadhambi hata kama imeandikwa wapi. angalia maisha yao tu utaliona hilo. kuwabatiza watoto sio kuwaondoa dhambi wala nini. ni kuwabaka kiroho na kuwateka ili wanwe wa dini fulani na labda ndio maana ukifuatilia wakati wa ubatizo watoto wengu huwa wanalia kama ishara ya kukataa ujinga ule

nyahbingi worrior, Karibu sana hapa

chib said...

:-)

SIMON KITURURU said...

@Kadinali Chacha:Nafanya shopping!Ila nasikia kitendo chenyewe cha uzalishaji ni dhambi!:-(

Mzee wa Changamoto said...

Ooooohhh!!!
I Love 'em too.
They're sooo innocent. Kuna wakati nawaonea huruma kwani wanapelekwa wasikopenda, wanafanyishwa wasiyokubaliana nayo na bado wanalazimika kuwa WATII