Sunday, October 18, 2009

mtandao unagoma kidogo.

kama ijulikanavyo niko mikoani na hapa ni mkoa wa kagera ambao hapo zamani kabla ya idd Amin kuutamani uliitwa mkoa wa Ziwa Maghaaribi. nashindwa kutundika picha na mitundiko mingine kutokana na uhaba wa internet pamoja na kasi ndogo ya kutundika mitundiko kibao. kwa hiyo tuombeane radhi kwa hilo lakini nakuhakikishi vurugu zoote za kijiweni zipo kama kawa na wala hazistaafu wala nini.

aminia

1 comment:

Anonymous said...

BIG UP