Sunday, October 25, 2009

Yasinta wa ruhuwiko na asiyefunzwa na mamaye.........


!!!!

Yasinta pichani anasema.................

........asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu nami nikamuuliza kama mamaye huyo anaishi wapi? si iulimwenguni humo humo na hakuna tofauti kati ya mafunzo ya mama na ulimwnegu kwa sababu wote ni wamoja yaani wa ulimwenguni?

basi nimemaliza ziara yangu kwa wanyanchoka na hawana lolote kumbe mapigano yao ni ya kizamaani tu na nimetoka nila hata kipande cha ngewe ila duh mambo ya hapa!!!!

6 comments:

Chacha Wambura said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Yasinta Ngonyani said...

Kamala:-(

Fadhy Mtanga said...

Mi yangu macho!

EDWIN NDAKI said...

Tutafika tu

Anonymous said...

Baba hiyo mada ngumu, inahitaji mjadala mpana kweli wa ki-filosofia.

chib said...

Duh, majibu mengine ni bandika bandika, na wala sio bandika bandua :-(