Thursday, October 8, 2009

nimetua mjini Bukoba jamani.


watoto wakichangamkia 'ebitooke' kwa pamoja


katika safari zangu za mikoa ya kanda ya ziwa, leo hii nimewasili mjini Bukoba. hali ya hewa hapa ni saafi saana kwakweli, watu wanapendeza na lugha kuu ni kikwetu. mvua zinanyesha na sio ukame kama maeneo mengine y nchi hii, vyakula ni vya kufa mtu na furaha ya kutosha.
nivyema sana kuwa hapa baada ya kulanda landa mijini

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera Kamala kuwa nyumbani kula chakula cha nyumbani, kuongea lugha ya nyumbani na kuwa na watu wa nyumbani.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Asante dada Ruhuwiko

Chacha Wambura said...

nyegera waitu

Anonymous said...

Who is the real chacha wambura? We need to work on this

Anonymous said...

Who is the real chacha wambura? We need to work on this

Chacha Wambura said...

Anony, Chacha Wambura ni mkurya atembeaye na mawe wakati wooote. Anaongea makabila 19 kati ya 20 yaliyoko mkoani Mara na pia anaongea lugha za makabila makuu ya nji yetu ukiunganisha na kakiingereza ka ki baba paroko si haba. Of course na kimassaai, kichaga, kingoni pia...lol. Mikoa ambayo hajatembelea Tz hii ni pamoja na Mtwara, Ruvuma, Lindi na Rukwa...lol!

usiwe na munkari saaana kwani Dada Koero aliahidi kuandika wasifu hata wa wasomaji...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chacha wambura, mimi naogopa kupigwa jiwe, sisemi chochote hapo
labda nipewe stone proof

chib said...

Hao watoto walikuwa wanakula ndizi au pilau. Si unajua Kamala ametua kijijini, lazima alikuwa kabeba sheheni ya vitu kadhaa.....

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chib

Duh