Tuesday, October 27, 2009

Ziara ya kanda ya ziwa imekwisha

Ziara ya takribani mwezi mzima katika mikoa hii ya kanda ya ziwa itamalizika rasmi leo na immekuwa ya mafanikio makuubwa na ya kujifuza mengi pia.
mikoa ya shinyanga, kagera, mara na Mwanza, mambo ni mazuri muno kiasi kwamba naiga story ya kwenye biblia kuwa nikae huku huku yaani nijenge vibanda na ikizingatiwa kuwa nimeishamalizia muda wa kuishi Dar

Musoma kila mtu ni mbabe na inabidi uwe makini kwani ni wataalamu wa kurusha mawe kuliko risasi. mwanza ni jiji mchanganyiko lililozungukwa na migodi yote mikubwa ya nchi hii wakati Bukoba mvua zinanyesha ni matoke kwa wingi na mikogo ya kinshomile bado inashamiri.

wewe. natuone uchaguzi mkuu ujao si wa mitaa umetuonyesha muelekeo???

see yu in dar soon

7 comments:

chib said...

Wewe unadai Musoma kila mtu ni mbabe, Jitahidi usikutane na Chacha Wambura, maana ata-kutema!!

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Musoma kila mtu ni mbabe na inabidi uwe makini kwani ni wataalamu wa kurusha mawe kuliko risasi.

Mwanza ni jiji mchanganyiko lililozungukwa na migodi yote mikubwa ya nchi hii.

Bukoba mvua zinanyesha ni matoke kwa wingi na mikogo ya kinshomile bado inashamiri.

Shinyanga je?

Freddy Mbeyella said...

Hongera kwa kufanya ziara mikoani. Pamoja na mambo mengine natumaini ulifanya semina za Utambuzi. Tutafurahi kupata taarifa ya ziara

Chacha Wambura said...

Masangu, shinyanga wanauwa vikongwe...lol

Nilikuwa natania tu mkuu...lol

Chib, on the contrary niko juu zaidi ya hayo...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chib, nilikutana na Wambura na akawa mpole tu.

Matondo, shinyanga kwakweli duh!! bahati mbaya sikwenda vijijini, niliishia kahama na Shy town. Kahama ni mji unaokua kwa kasi ila kama mikoa mingine unaathiriwa kwa kiasi kikubwa sana na mabadiriko ya hali joto a.k.a global warming na una watu wengi wanaopenda kufikiri na kujiuliza na kujadili na masuala ya utambuzi yanapendwa sana shinyanga

~PakKaramu~ said...

Pak Karamu visiting your blog

~PakKaramu~ said...

Pak Karamu visiting your blog