Tuesday, November 10, 2009

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hee!! hiyo sasa kali nilidhan kuna huu msemo usemao nikilala kitandani basi ujue mzungu wa nne...LOL

SIMON KITURURU said...

Hapo kwani kuzunguka kitanda sio Ruksa?:-)

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Kwani hiyo fensi imetiwa umeme?...lol

kama haijatiwa umeme basi kuvuka ruksaaa...lol watu walishavunja nyumba zenye gril itakuwa hayo mambo ya fensi ya waya...lol

Masangu Matondo Nzuzullima said...
This comment has been removed by the author.
Masangu Matondo Nzuzullima said...

Unaweza kuzunguka kitanda au kuruka hilo fensi - kigongo ni fensi lililomo kichwani mwa huyo mama kwani inavyoonekana amedhamiria kweli kweli. Na unavuka fensi ili ukafanye nini wakati mambo umeyatibua mwenyewe?

Nuru Shabani said...

Kazi kwelikweli.Tatizo kuvuka mpaka alioweka kichwani.

chib said...

ha ha haaa.....