Thursday, November 12, 2009

ndoa na kushirikishana.

kwa kiasi kikuubwa ndoa inapemda kushirikishana. tunashirikishana mambo mengi katika ndoa. kuanzia hisia, mihemko, tamaa na hata wivu. tunashirikishana changamoto (matatizo) zetu, njaa na hata shibe zetu. tunashirikishana furaha uzuni nk na tunashirikisha hata usingizi wetu na matarajio yetu.

kwa hiyo katika ndoa jambo la msingi ni kushirikishana. ukimshirikisha mwenzio, ni ishara nzuuri sana ya kumjali, kumpenda na kumheshimu. ukimshirikisha mwezio ataona ni kwa kiasi gani yeye ana umuhimu kwako. tushirikishane hata vitu vile vinavyoonekana ni vidogo na kumbuka hamna vidogo balli hata vile vikubwa, huanza vikiwa vidogo pia.

tatizo la kushirikishana kwetu huwa siko kule kwema zaidi. mnatoka kazini na kuleta changamoto zoote huko nyumbani na hakuna kuongea wala nini. harafu usiku wa manane mtu anashangaa ghafla huyoo uko kifuani, unataka kumshirikisha tendo la ngono! wapi na wapi, huko kutakuwa ni kubakana na sio kushirikishana wala nini.

ni lazima tuwe na wakati wa kuongea na wenzetu, kuwaomba ushauri. kila ngazi ya maisha yetu, ni lazima tuelezani nini kinaendelea badala ya siri. kushirikiana kuna faida nyingi sana na ni mbolea ya familia au mahusiano yetu. na sio kushirikiana tu bali pia kubebeana mizigo

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Darasa hili nzuri sana!

Anonymous said...

Who knows where to download XRumer 5.0 Palladium?
Help, please. All recommend this program to effectively advertise on the Internet, this is the best program!

chib said...

Wengine ushiriki wao ni kupata faida....

SIMON KITURURU said...

Nanukuu ''kwa kiasi kikuubwa ndoa inapemda kushirikishana. tunashirikishana mambo mengi katika ndoa. kuanzia hisia, mihemko, tamaa na hata wivu.'' mwisho wa nukuu.

Kutokana na nukuu hiyo hapo juu huhisi kuwa kushirikishana kwenye ndoa haiwezekani?

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

tunahitaji chuo cha ndoa....lol

Anonymous said...

Wenzi wengine bwana, ukimuweka wazi hapo ndo unaharibu kabisa. Tatizo la uwazi huwa ni mapokeo kwa mshirikishwaji.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

na inawezekana kwa mujibu wa anony 11.03 ikawa kweli. kwa kuwa ukimshirikisha mh! yaweza kuwa zogo kwa mashogaze huko anakosuka ama kuchota maji....lol

na matokeo yake kijijini inakuwa....'yule bwana nkewe kamweka kwenye kiganja'...lol

hapo KL wathemaje?

SIMON KITURURU said...

DuH! Nilitokea kucheki kama Komandoo Kamala kaainisha zaidi jambo kuhusu kisonono hiki kiitwacho ndoa!:-(

Na baada ya kusikia stori fulani jana, Kama ntapata Limchumba kibonge hapa,...


... PLIIZ ewe mchumba usinishirikishe kila kitu kwa kuwa nimeshuhudia NTATESEKA NIKIJUA KILA KITU kama nijuavyo atesekaye kujua kuwa mkewe aliyekuwa bikira alikuwa anaonjwa nyuma na rafikiy ake katika jitihada za kutunza bikira ya mbele. Na sasa mshikaji MUME WA MTU aliyefanikiwa kuondoa bikira ya mbele YA MKE na kuchukua jumla jumla BILA KINYONGO mtu KITUMBUA NDANI YA MANAILONI, hajiamini tena kindoa kwa kuwa anajua aliyemtoa bikira ya nyuma mke wake.....


... Na ingawa hausudu kama FANTA kipengele mduara cha nyuma CHA WAKE MKE na alioa mke bikira , bado anafikiria kumuacha mke kwa kuwa havutiwi naye tena kisa ANAJUA MKE ALICHOMSHIRIKISHA AMBACHO na ambacho mke kamshirikisha kilicho kuwa siri yake NI KWAMBA hakuwa na bikira ya kinyeo na aliyekuwa anaterezesha filimbi NI rafiki yake MME mpenzi ambaye kila siku ni bingwa wa kuwatembelea.:-(


Na jaribu kutojeneralaizi ingawa nahisi mshirikisho ukikosewa ashirikishaye sana aweza haribu utamu wa supu ya utumbo kwa kuongelea kuwa utumbo mtamu huwa ni lazima unachembechembe za mavi.:-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kuna kipengere huko mbele kinaongelea juu ya kuachika au kuachana katika kisonono hiki cha ndoa na mengi yaliyojadiliwa hapa tutayaona mle hasa ya anony, Chacha na Kitururu