Tuesday, November 24, 2009

ndoa na mawasiliano

katika kusisitiza juu ya mawasiliano na maelewano katika ndoa, ni vyema tukarejea makala ya Munga tehenan katika kitabu cha maisha na mafanikio iliyochapwa hapa bloguni na Yasinta wa Ruhuwiko.

bofya hapa kuisoma na kutoa maoni. karibuni kwa leo

5 comments:

nyahbingi worrior. said...

mkuu nimepita kupata somo.

amani.

Upepo Mwanana said...

Nitaenda kuisoma

chib said...

Tunasubiri mwendelezo wa somo

Anonymous said...

Nakubaliana na yoote uliyotuletea mazuri ktk blog yako. Ombi langu tu ni kuona unafanyia kazi hayo yoote mazuri uliyotuletea ktk blog yako. Kwani tumeona wahadhiri weengi hawafanyi yale wanayo hubiri. Mimi nadhani wewe utakuwa mume mwema, na utaienzi ndoa yako, ili wanaume wengine waige mfano kutoka kwako. Ndoa ni vile wewe unavyotaka iwe, ukitaka iwe ya misukosuko itakuwa hivyo na ukitaka iwe na amani, upendo na baraka pia itakuwa hivyo. Hakuna formular katika ndoa hata kama vitatungwa vitabu kwa kila awamu.

mawazo yangu tu

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Anony, nawe umekuwa muhubiri? ...lol