Wednesday, November 11, 2009

toooo busy jamani


mjadala wa ndoa bado unaendelea ila ishu ni shughuli kibaaao zilizonitinga mpaka basi


kwa taarifa tu ni kwamba baadaye leo nitaonana na mwanakijiji maggid mjengwa pale karibu na faya pale au sio kesho mjadala utaendelea tu

4 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

I hope huko bize katika kufikiri pia, ne? ...........lol

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri Kamala!!!

SIMON KITURURU said...

Tuko pamoja!

Markus Mpangala said...

sawasawa