Thursday, December 31, 2009click the photo to see it well

13 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

du!

maweee!!!!!!!!!!

Mija Shija Sayi said...

Kamala hongereni sana jamani. Mmependeza na kumeremeta kwa kweli. Halafu Kamala kumbe unajua kuchagua namna hii!!...

Kila la heri katika maisha yenu mapya.

Stay blessed.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@Da Mija: ana jua kuchagua nini? Kiatu, nguo, namna ya kucheka ama mke?...lol

Mija Shija Sayi said...

@Chacha: Anajua kuchagua mke, au mwenzangu unasemaje?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chacha labda kila unachokiona!

Yasinta Ngonyani said...

Kamala na wifi mmependez<a kweli jamani mpaka wivu...lol. Hayo mavazi safi sana yaani nimeyapenda mno. Ni kweli kama alivyosema D Mija unajua kuchagua.

Mzee wa Changamoto said...

OMG!!!
This is aweeesooooomeeee!!!
Karibu familiani na kila la kheri kwa kila jema la kifamilia.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@ Da Mija: naona kama anajua namna ya kupoooozi :-)

@Yasinta: wivu wa nini tena? ilitaka hizo nguo uzivae weye? ... ;-)

naona woote mmekubali kuwa black is beauty...lol

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Safi sana!

chib said...

Mmependeza!

Bwaya said...

Hongera sana kijana kwa hatua hii muhimu.

Anonymous said...

Hellow my best friend,

Nimekuwa na mihangaiko mingi sana kwa mwaka huu. Kikubwa nimetembelea blog yako leo, na nimeona sitajitendea haki kama sitaandika kitu kuwapongeza. Kwa kweli HONGERENI SANA. Mmetimiza kile mlichotaka. Kiukweli hiyo ni atua nzuri kwa binaadamu wote, Inaonyesha thamani yenu wote, inaonyesha kuwepokwenu pamoja na inaonyesha upendo ambao hata Mungu wenu anaufurahia.

Mimi nawatakia maisha mazuri saaaaaaaana Kamala na mke wako Mzuri. Mungu ayasimamie maisha yenu na familia yanu. Nitafurahi kama nitasikia mnaishi kwa furaha amani na upendo siku zote za maisha yenu. Hebu fanyeni ndoa yenu iwe mfano mzuri wa ndoa zinavyotakiwa ziwe.

Najua uko mkoa wakati huu kwa kuwa si muda huu uliwahi kuniambia, ila mpe mke wako salamu zangu nyingi.

Rafikiyo best,

Saada-TGNP

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

asante sana Saada kwa ujumbe muziri, nitamfikishia mama