Thursday, December 31, 2009

huyu binti yako haji kanisani

imajini una binti wa kike mwanao au mdogoo harafu pasta au paroko anakuja mpaka nyumbani kukulalamikia kuwa binti yako haonekani kanisani au hata akionekani ni kwa kuchelewa harafu anawahi kuondoka.

je utajiuiliza ni kwanini? na kwa nini analalamikiwa binti na sio kijana wako? je utamsistiza binti kwenda churchi ili paroko / pasta aridhike??

kuna habari nyingi. kuna mhubiri mmoja maarufu hapa nchini ambaye mwalimu wake wa masuala ya dini alimpiga mimba!!

rejea kote harafu ujiulize kwanini analalamikiwa mpka nyumbani kwako

No comments: