Monday, December 28, 2009

krismass na burudani zake

Sikuu kuu ya X mass imepita na mikikimikiki watu wakisherehekea na kupongezana hapa na pale, nifuraha nderemo na vifijo. Nilipokuwa mdogo nilijiuliza maswali mengi kuwa siku kuu iko wapi na has baada ya sikuyenyewe kkupita. Nilishangaa sana kwani sikuwahi kuuona huo ukuu wa siku hiyo hata kama vip

Ni nyakati hizi watu wanalewa na kuanguka ili tu washerehekee wasichokijua. Krismass yaweza kuwa haina uhusiano wowote na Yesu Kristo inayedaiwa kuwa ni birthday yake. Usahidi kibao unaonyesha hivyo

Kristo pia hakuwahi kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake na hakumwambia msherehekeaji yeyeyote kusherehekea siku hii. Biblia inasema kuwa msherehekee kufa kwake na hasa lile tendo la kula chakula sawa kwa wote aliposema …fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu…

Ni buruduni tosha na ni vijisherehe tu na maisha yanaendelea, wale wenye kufanyabiashara wanatajirika kinoma na haswa ile mbaya.

No comments: