Friday, December 18, 2009

Mabasi mawili yagongana uso kwa usoWatu kumi na tisa wamefariki papo hapo huko Moshi (Same) likitokea Mombasa. Basi mojawapo ambalo limehusika ni Mohammed Trans na gari dogo aina ya Coaster

inasemekana ni Basi la mohamed trans, nilipendalo na nilisafirialo saana kwani nadai ni salama kukliko menngineyoyote

2 comments:

SIMON KITURURU said...

:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Same! Same! Same! Mt Kitururu na Mamaaa wa Vukani tujuzeni kunani huko?