Saturday, December 19, 2009

Mwanza na Honey Moon au mwezi wa Asali

huyu ni Mzee Adam Sijaona akifurahia Mandhali ya mwanza mbele ya hotel ya impala na bonge la bustani

hapa nilipozi picha ya kabala sijasafiri kwa mtumbwi wa babuyake Matondo kuelekea kisiwa cha saanane iliko mizimu ya familia ya Matondo

Mzee Adam na maDereva wa Mtumbwi uliotuvusha hadi Saanane kwa ajili ya mediatation na kushangaa shangaa kidogo

kwa heri naenda fungate huko huko saanane ila sina uhakika kama kweli mimi huyu nahitaji fungate. kazi nyingi za maisha ya kila iku zimenisubilia na ninapaswa kuchakalika ipasavyo, kwenda fungate yaweza kuwa ni uzembe kwani sio lazima. Ila nimechoka sana na hivyo funngate igenisaidia kupata wasaa wa kupumzika na ku-meditate vyema. barikiweni mpaka nitakaporudi tena, amina

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kamala usichoke sasa safari bado ndo kwanza inaanza ukichoka sasa itakuwaje sas? Nakutakia kila la kheri kesho. Amina.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Mizimu ya familia ya Matondo nadhani iko Unyantuzu Bariadi a.k.a Kwa Wajanja! Kila la heri kesho Mulangira!

Tandasi said...

kamala fungate muhimu bwana nanda ukale happy na shemeji bwana. dada yasinta nakuunga mkono..

ABRAHAM said...

hongera sana mtambuzi kwa kupata raha ya duniani ki ukweli nenda tu ukale fungate na mwenzako, ukirudi utakuwa na mitazamo mipya.Abrahamu

ABRAHAM said...

hongera sana mtambuzi kwa kupata raha ya duniani ki ukweli nenda tu ukale fungate na mwenzako, ukirudi utakuwa na mitazamo mipya.Abrahamu

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@ Abraham: duh!

@ Kamala: hongera mweee!

SIMON KITURURU said...

Kwa mara nyingine,...HONGERA Mkuu!

chib said...

Mwaka mpya ukianza, jua kali la mifuko lisikutie homa, ni kawaida.. Tanua tu, nyingine zitatafutwa. Pata raha kwenda mbele