Friday, December 11, 2009

nani huyu jamani! mweusi ehe??


basi bwana, ilikuwa ni siku ya uhru tukajipanga kucheza mpira wa miguu katika viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii. nilicheza winga aka namba saba na mpira ulikuwa Mwema na tulishinda 4 dhidi ya tatu il nilitoka mapema uwanjani, pumzi hakuna

6 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

huyo huyo ndo huyo!

na utakoma kuringa baada ya kutocheza kwa muda mrefu...lol

SIMON KITURURU said...

DUH!

Yasinta Ngonyani said...

Huyo ni mtu tena ni kijana. Inabidi ufanya mazoezi zaidi...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

basi bwana ilikuwa ni baadda ya mechi kali siku ya uhuru. niliingia uwanjani kwa mbwembwe za kufa mtu lakini baada ya dakikika kidogo pumzi hamna.

hata hivyo timu yangu ilishinda manne kwa matatu

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Uko fiti mbona? Vipi tena pumzi hamna?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

matondo, usione body ukadhani nina mazoezi