Sunday, December 27, 2009

nimerudi na kazi kama kawaida tu

elee kuwa mambo yalikuwa mazuri na migomo ya kutosha lakini nafurahia maisha na naendelea kama kawaida sasa.

picha hazitawekwa hapa sasa kwani tumeona ziendelee kuwa private zaidi kwa ushauri wa mama


nilizimiss blogs kibao katika kipindi hiki lakini nilipata wasaaa wa kutosha saana kupumzika. juma hili nalo nina mizunguko kidogo na mapumziko halininayoifurahia kwani kupumzika kumekuwa kitendawili sasa

tutendelee na blogu zetu kama kawaida sasa. naona mitaani watu wamejaa furaha na shangwe lukuki za sikukuu wasiojua chonzo chake lakini maisha yanaendelea japo ni ulevi kwa kwenda mbele.

nafurahia maisha na nashukuru saana kuwa na wewe hapa kijiweni.

Asanteni,

Mr kamala JL, Mume wa mtu kisheria na kimapenzi

5 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Nimependa saana tittle yako. "Mr Kamala JL, Mume wa mtu kisheria na kimapenzi"

Nafurahi kuwa umerejea vema na mwema
BARAKA KWAKO

chib said...

Karibu tena!! Tunawatakia kila la heri katika mwaka mpya wa 2010.

SIMON KITURURU said...

Karibu tena Komandoo!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Nanukuu: "Mr Kamala JL, Mume wa mtu kisheria na kimapenzi" mwisho... kumbe ulikuwa unaiba na kwa maana hiyo ulikuwa unafanya zambi????????????

meseji sent ng'wanawane!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Kijana wa changamoto, chib na Mtakatifu "K" nashukuru sana kwa ukaribisho huo

Chacha kuna msamiati kidogo hapo. eti zambi ni nini?