Tuesday, December 29, 2009

swali la sms

nimetumiwa ujumbe huuu,,,


no Pagan, Religion or culture could Withstand the force of idea that man was born in natural sin and would never have any release from it until he accepted the messiah of his own people. Do you know this idea was and has been established by which force?

jamani naomba msaada wa kuelewa ujumbe huu maana mtumaji amenikimbia ghafra!!

7 comments:

Majaliwa said...

anasema kwamba,"hakuna jamii,wapagani,utamaduni au dini ambayo imeweza kustahimili wazo (idea) kwamba binadamu anazaliwa na dhambi na apati kujikomboa/kujiokoa mpaka pale atakapo mpokea mwokozi(mesiya) wake".Anamalizia kwa kukuuliza,"je unafahamu ni kitu gani(idea) ambalo limesababisha/limefanya hivyo?
Anyway,nimejaribu...pengine kuna upungufu;mtanisaidia.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@Majaliwa: nadhani hapo umetafsiri tu hujatoa jibu...lol

na kwa bahati mbaya nimesahau jibu :-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

majaliwa asante kwa tafsiri na kuliweka swali kuwa jepesi, Chacha, acha uhuni, jibu swali!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

tatizo la sisi ni kuwa huwa hatutaki kuambiwa ukweli...lol

nshasema kuwa nimisahau jibu nawe waniambia kuwa 'mhuni'


by ze wei, uhuni ni nini....lol

halafu utaniuliza 'ukweli' ni nini, ha!

majaliwa said...

Poa...basi jibu langu ni kwamba the idea is Ukomunisti.Manake Karl Marx alisema mengi mazito.

chib said...

Mkuu tutakujibu mwakani. Kila la heri

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

nimepata jibu baad ya kukutana na muuliza swali, kumbe ni negative powers zinazotaka kukudhibiti na hivyo ni lazima zikuaminishe kuwa ulizaliwa na dhambi ili ujihisi mwenye hatia na kuziendea ili zikutawale kwa kuamini kuwa zitakuokoa, amina