Thursday, December 3, 2009

unaoni nini / nani hapa?

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mimi namweona taswira ya mtu ambaye amefanana na Bony Mwaitege vile? Au labda mmiliki blog hii sijui ....lol

chib said...

Mimi naona mtu ninayemfahamu sana bloguni ila sijawahi kukutana naye kapanda mtumbwi. Tena sijui wa kwenda huko kwetu Ukara. Wengine wote wameiga

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Angalia huo mtumbwi ukibinuka usije ukauacha mwili.

Sijawahi kupanda mtumbwi. MV Bukoba tu yenyewe ilikuwa inaniendesha kweli. Natumaini ulisafiri salama

Candy1 said...

nini: mtumbwi

nani: mtu

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hapa nilikuwa nikielekea kisiwa cha saa nane jijini Mwanza jamani

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

naona kamtu

naona kamtumbwi

naona kamlima kwa mbali.


Kl, huogopi maji kama Masangu?...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chacha smakai atagopa vp maji? kwetu bk ili uende popote ni lazima uyavuke hayo, nimeyezowea