Friday, December 18, 2009

utamaduni na nguo za kitamaduni hizi


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli mara nyingine ninashindwa kuwaelewa/kujielewa kwa nini sisi waafrika tunaacha/tunadharau au niseme hatupendi tamaduni zetu. Ni tamaduni nzuri na za kujivunia sana lakini bado tunatafuta minguo ya kutoka wapi sijui wakati zetu ni nzuri zaidi. kwa kweli binafsi nasikitika sana maana sasa inaonekana tamaduni yetu inakufa polepole.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

tamaduni yetu inakufa ....duh!

Yasinta, kwako weye hata lugha inakufa sasa....lol

hayo yote ni kwa sababu ya utandawazi-wizi....lol