Saturday, December 5, 2009

VIwanja, Viwanja vinauzwa!

Viwanja vifuatavyo vinauzwa viko eneo la vikindu ni umbali wa kilometa kumi kutoka Mbagala.

Ekari 13 tsh 21 milion

Ekari 14 Tshs 25 milion

Ekari 2 Tshs 2 milion

Eekari 10 Tshs 15 milion

Ekari 10 Tshs 13 Milion.

kwa mawasiliano na manunuzi zaidi waweza piga simu namba; 0787 809 886 au wasiliana na uongozi wa blog hii

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kamala ni kweli kwani mimi natafuta kiwanja.

Bennet said...

Samahani naomba maelezo zaidi, vimepimwa, vina hati au offer? ndani ya hiyo ardhi kuna mazao gani, kuna mto, kisima au bonde maana kwa ukubwa huo hayo ni mashamba

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Ysinta ni kweli. havijapimwa kama mnavyojua bongo yetu ila waweza fanya utaratibu wa kuonana na wale wapimaji na kupima na kumaliza mambo

baadhi vina mazao ya kawaida kama yale ya Mahndi nk baadhi havina ila vinafaa pa kwa kilimo, kujenga shule makazi Nk