Thursday, January 28, 2010

Eti nani yuko juu kati ya mwanamke na mwanamume? najiuliza swali hapa!

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

tuache ubaguzi na tuseme wote wapo juu. Ni mtizamo wangu lakini

Mija Shija Sayi said...

Kwa nguvu za misuli ni mwanaume. Kwa utu ni mwanamke.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Juu kutokea wapi? Juu kivipi? Tunazungumzia nini? Sijaielewa mada

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@Yasinta, Labda

@Mija, sina uhakika na hilo, watoao mimba (kuuwa) wana utu kweli??? ni swali tu

@Mtondo, post itakayofuata itajaribu kukufafanulia

SIMON KITURURU said...

Kiulalamishi ni Wanawake!
Kiuzuri ni Wanawake!
Kikunuka kikwapa ni Wanaume!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

duh!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@simon basi uko juu sana kwa kikwapa tu mkuu

John Mwaipopo said...

nasubiri post ijayo maana nilishindwa kuelewe kama dk matondo