Wednesday, January 20, 2010

michango ya watu wa HAITI, kilosa je?


natoa mchango wa ndizi kwa waathirika wa mafuriko huko Kilosa, mara na hata dodoma!


watu wako bize na kuchangia waathirika wa baridi la ardhi lililosababisha ardhi kutetemeka kule Haita na kuwatetemesha watu, majumba mimea nk mpaka kuanguka, sasa najiuliza mbona hatuonekani kujihusisha wa wale wa baraka za mvua zilizopita kiasi kule Kilosa, Dodoma au majanga ya migodini Mara, au hata watanzania wanaoishi katika mazingira magumu???\

nimetanguliza mkungu wa ndizi

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Safi sana Kamala kuna msemo usemao toa ulicho nccho.

chib said...

Watoa ahadi hewa huku kwetu ni wengi.
Sasa sijui huo mkungu nao ni hewa au.....

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

chib, utakluwaje hewa wakati unaonekana angalau kwa macho?bu

nyahbingi worrior. said...

good spirit.

chib said...

Sawa Mkuu, mkungu nimeuona :-)