Thursday, January 14, 2010

naelekea kwa Nestory Ijumaa hii

nimewasili bukoba siku ya pili hii, nilichoka sana na kuandaa maisha ya hapa yaweze kuwa mema sana na mazuri ya kutafakari vyema

ni ijumaa hii ndipo nitakapolekea kwa Nestory ili kujua taratibu zote pamoja na mavazi na jinsi ya kumhamisha ndani ya juma lijalo ili aanza masomo yake ya boardig bila hofu wala wasi wasi

kwa hiyo basi, pledges zinaendelea kukaribishwa ili kijana wetu aendelee vyema na masomo bila wasi wasi,

ni aaarifa tu Ahasanteni

Kamala

4 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

aksante kwa taarifa. keep us posted

enjoy bukoba na utuletee senene

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa taarifa Kamala. Mie nilitaka kupeleka taarifa kuwa umepotea mie naomba usisahau kutuletea NDIZI. Kila la heri.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Natumaini siku moja nitarudi Kashai. Kulikuwa na rubisi tamu sana pale!

Unafanya jambo jema kumsaidia Nestory. Tunamwombea mafanikio...

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Chacha senenen ni haramu kwangu

Yasinta, sipoteiwala ninimie siko ugahibuni/ugenini kwa hiyo mwenda kwao si mtoro