Saturday, January 9, 2010

nimechapisa kitabu mtandaoni juu ya mauaji ya Albino

kwa kutumia teknolojia ya mtandao, sasa nimechapisha kitabu cheny kurasa 30 mtandaoni juu ya mauaji ya kikatili wa walemavu wa ngozi au maalbino. jina la kitabu ni;

mauaji ya albino ni ujinga na upotoshwaji wa kiroho

kwa kiasi kikubwa kitabu hiki kinaonyesha jinsi ujinga na dini zinavyochochea mauji ya kikatili ya watu wenye ulemavua wa ngozi. hakiishii hapo bali pia kinaonyesha jinsi ya kukabiliana na kurekebisha hali hiyo mara moja na kama mapendekezo yakifanyiwa kazi, tunaweza kuwanusuru wenzetu hao.

bofya jina lia kitabu kukiona kilipo na kujipatia nakala yako. ni kifupi sana chenye kurasa kama 30 tu

4 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

hongra mwee!

SIMON KITURURU said...

Naungana na alichosema Kadinali Ng'wanambiti.

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana Kamala!

chib said...

Tukisha kisoma tutaaongeza hongera zetu :-)